Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

YANGA: MALINZI AWAASA YANGA WAFANYE UCHAGUZI MAPEMA



Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, amewaambia Yanga waandae uchaguzi mapema iwezekanavyo kwa kuheshimu katiba yao kwani muda wa uongozi umeshakwisha...Malinzi alisema Yanga waliandika barua kwenda TFF kuhairisha uchaguzi kutokana na uchaguzi mkuu wa nchi lakini mpaka sasa hakuna tarehe iliyotajwa ya uchaguzi...Rais wa Yanga, Yusuf Manji, muda wake wa uongozi uliisha June 2014 lakini wazee wa Yanga walitaka aendelee na hiyo ni kinyume cha katiba yao...Bofya hapa upate habari zaidi.

Yorum Gönder

0 Yorumlar